Uchaguzi wa Zanzibar sasa rasmi kurudiwa

Zanzibar Yetu

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salum Jecha akiwa na wajumbe wa tume hiyo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salum Jecha akiwa na wajumbe wa tume hiyo.

Wakati mazungumzo ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar yakiwa yamepamba moto, uamuzi wa kufutwa matokeo ya uchaguzi umetangazwa rasmi katika Gazeti la Serikali la Novemba 6, mwaka huu, hivyo kumaanisha uchaguzi huo sasa ni rasmi utarudiwa.

View original post 588 more words